Recent content by florian florian

  1. florian florian

    JamiiForums Tanzania Soy Isoflavone

    EWE MWANAMKE FURAHIA NDOA YAKO KWA KUTUMIA SOY ISOFLAVINE Hiki ni kirutubisho kilichotengenezwa kwa maharage ya soya na njerege.Isoflavine ambayo ni mahususi kwa vichocheo vya kike Kama Estrogen. Kazi kubwa ya Soy Isoflavine =Inasaidia mfumo wa uzazi kwa mwanamke,kufanya kazi vizuri na...
  2. florian florian

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo

    Mimi co mwenyeji ktk hilo but nitalifuatilia then nitarudi kukujuza
  3. florian florian

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya IT na computer science courses

    Karibu sana masomo yanaanza J3
  4. florian florian

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya IT na computer science courses

    Ruaha Catholic university RUCU Iringa town. Mimi nasoma hapo ICT/ BSC.IS
  5. florian florian

    JamiiForums Tanzania msaada

    Tafuta fee structure ya chuo husika au prospectus ya chuo husika
  6. florian florian

    JamiiForums Tanzania Nasikia kampala university nao wametoa.

    Nitajie majina yako matatu
  7. florian florian

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Vp Ruaha university college (RUCo) bado hawajatoa?
  8. florian florian

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Mmmh yakweli hayo kk Mkubwa?
  9. florian florian

    JamiiForums Tanzania Majina yametoka NACTE kwa wale waliokosa first batch

    Bwana Mkubwa kama jinalako halijatoka ufanye second round application ujue umechaguliwa course mojawapo ya hizo ulizoomba so subiri on Monday utajua kilakitu. Mkuu
  10. florian florian

    JamiiForums Tanzania TCU na watuma maombi ya mwaka wa masomo 2014/2015

    Online pia unaweza fika ofisini kwao.
  11. florian florian

    JamiiForums Tanzania TCU na watuma maombi ya mwaka wa masomo 2014/2015

    Thanks @ VAN HEIST
  12. florian florian

    JamiiForums Tanzania TCU na watuma maombi ya mwaka wa masomo 2014/2015

    Transfer huwa zinatolewa kwenye ukurasa wa TCU soon after release of selected applicants Hapo unaweza kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine either course ile ile or course tofauti.
  13. florian florian

    JamiiForums Tanzania TCU na watuma maombi ya mwaka wa masomo 2014/2015

    Ofisini wapi? VAN HEIST
  14. florian florian

    JamiiForums Tanzania TCU na watuma maombi ya mwaka wa masomo 2014/2015

    Ajaribu kufanya transfer
  15. florian florian

    JamiiForums Tanzania Habari Mpya Kutoka TCU

    Thanks Given
Back
Top Bottom