Naungana na aliyekupa namba za simu ili uegemee kwa Mungu, achana kabisa na PM uliyotaja. Badala ya neno 'PM', weka Mungu, alafu usubiri uone jibu jema kutoka kwa Mungu.
Ila kwa ushauri, tulia katika sehemu yako ya dini utapata pumziko tu. Maana yake mueleze Mungu wako anaona, anajibu. Njia hii itakuchanganya zaidi kaka.
Atakuja huyu akitoka huyu atatokea mwingine.mwisjo wa yote jibu sahihi utalikosa.
Muumba wako anakujua, na anakuona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.