Recent content by fleha

  1. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Naomba muongozo mkuu
  2. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Huyu yuko out of options right now
  3. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Si ni mpaka nishindwe kulipa
  4. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Kama una option we nipe tu, mafanikio yanataka risk
  5. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Sina mali nyingine ya kunidhamini ndugu
  6. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Mpaka kufikia kuwaza hili nimekosa kabisa options nyingine my dear
  7. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Nikadhani dhamana ya nyumba yangu inatosha
  8. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Hii ni bank?
  9. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Kwenye kuanza tunapata wapi mitaji?
  10. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Nitapata wapi mtaji?
  11. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Hatuna njia nyingine ya kupata mitaji boss
  12. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Ndo nataka kupata mtaji niianze mkuu
  13. fleha

    Nichukue mkopo bank gani?

    Habari zenu wakuu. Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je? Bank gani itakuwa option bora zaidi kwa maana ya unafuu wa masharti, udogo wa riba na uharaka wa kupata mkopo wenyewe. Natanguliza...
  14. fleha

    Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Wewe unataka justice, yeye anataka hela.. Sasa tumsikilize nani? Na
Back
Top Bottom