Recent content by FLASHMARKET-INT

  1. F

    Barua ya Evarist Chahali kwa viongozi na wafuasi wa upinzani (Hususani CHADEMA)

    Kutopatikana kwa ufumbuzi wa akina nani ni "Watu wasiojulikana" ni kithibitisho tosha kwamba "Kitengo" kimebinafsishwa na MTU ama kikundi cha watu wenye maslahi yao binafsi. Bashite na Baba yake ndio watu watakaosaidia tupate katiba mpya mapema, tena katiba tunayoitaka sisi wananchi...
  2. F

    Kardinali Pengo: Wanasiasa waacheni Maaskofu wafanye kazi zao, msiwafundishe kazi

    Upo nje ya mada.Ngoja Pengo aje akane hayo maneno hapa. This is JF.
  3. F

    Kada wa CCM, Ole Mushi aionya Serikali ya CCM Makanisa yanaambatana na Wanyonge kuiondoa serikali madarakani

    Kwani hiyo trh 26 mpk apatikane kiongozi?, hahaha. Gari lishawashwa hilo, kwa ss linapigiwa debe, dereva yupo USA anawapa shida watawala wako.
  4. F

    Viongozi wa dini wapo salama? Mchungaji Fredy Njama, akamatwa kwa ‘Uchochezi wa Kisiasa’

    Serikali ya Tanzania inaenda hovyo hovyo.Kodi ya wananchi inatumika bila utaratibu kwa kujenga uwanja wa ndege wa chato nje ya bajeti iliyojadikiwa na Bunge.
  5. F

    Uminywaji wa Demokrasia na mauaji ya wamanchi: Viongozi wote wa dini Tanzania mko wapi? Raia tunaangamia!

    Maandamano haramu ni ya aina gani mkuu? na Maandamano halali ni ya namna gani? Nimeona ujumbe wako ulijikita katika Udikteta lakini Chahali yeye amezungumzia yale yanayoendelea katika jamii yetu kwa sasa hasa katika shughuli za kisiasa, Usalama wa raia na Uhuru wa kutoa maoni. Niulize pia...
  6. F

    Tunapoishtaki serikali ughaibuni tumesahau unyonyaji waliotufanyia hao walami?

    Na tunapoipokea misaada yao, hatukumbuki kuwa walitutawala na Wanaendelea kututawala.
  7. F

    John Heche: Kama hutaki kukosolewa ukiwa kwenye ofisi ya umma acha kazi kalee watoto wako nyumbani

    Arudi Chato akaweke michembe kwny Bank yake aliyofungua.
  8. F

    Kuna mapungufu makubwa katika dhana ya uelewa kuhusu maandamano miongoni mwa wananchi wa kawaida

    Wewe bado kijana mdogo sana kuzungumza mambo makubwa kama haya. Soma Katiba kwanza. Best Regards, Flashamarket-Int'
  9. F

    Kuna mapungufu makubwa katika dhana ya uelewa kuhusu maandamano miongoni mwa wananchi wa kawaida

    Kwanza nikiri kwa kusema kuwa sijasikia wala kuona wala kusoma mahala popote kuwa CCM au Upinzani umejipanga kwa ajili ya maandamano yoyote, mpaka hapo nadhani ulikurupuka kuanzisha uzi.....ila ngoja niendelee kujibu ulichoandika kwa sababu kusema, kuandamana na kuamini ni haki yako kikatiba...
Back
Top Bottom