Kwa kweli ni bahati sijawah kubahatika kuwaelewaga in my entire life so kwa namna moja au ingine Mungu alijua akaniwekaga mbali nao maana alijua nitaishangaza dunia
So from experience za watu wengine waliowahi kuwa nao kwa kweli ni watu ambao siwez kuwaruhusu hata kukisogelea kizazi changu na...
Ningeyakanyaga ningehakikisha huyo muhaya wanaandika historia yangu yeye na kabila lake wote angekula tukio moja ya kijajusi aisee ningeishia jela nina uhakika huo kwa hii roho ya kichaga nilo nayo aisee nadhan wangeacha laana kwa wachaga wote
Inshort kwa matukio ambayo baadhi ya watu wa karibu...
Aisee sijapona sasa hvi naona kama ni sehemu ya maisha yangu maana kila mwez lazima nitoe hiyo nyongo aisee ila nikishaitapika nakua mzima kabisa bado sielew exactly tatizo ni nn maana vipimo ni vingi nmefanya na hakuna tatizo linaloonekana mara naambiwa hormonal imbalances mara naambiwa mwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.