Recent content by flafy

  1. flafy

    Nauza cake kwa jumla na rejareja

    Nipo dar es salam
  2. flafy

    Nauza cake kwa jumla na rejareja

    Husika na kichwa cha habar hapo juu .ninapokea order za cake za jumla na rejareja kwa bei nafuu.ukitaka cup cake au cake za shughul mbalimbali au za biashara naomba tuwasiliane kwa number hii .0719708708
  3. flafy

    Nauza mbwa

    Amebaki mwenyewe ndio maana amekuwa bored
  4. flafy

    Nauza mbwa

    Upo serious boss
  5. flafy

    Nauza mbwa

    Namuuza laki nne ila maelewano yapo
  6. flafy

    Nauza mbwa

    Nauza mbwa aina ya maltese bei ni laki nne maelewano yapo kwa number hii 0719708708ameshachomwa chanjo zote karibuni amebakia huyo.
  7. flafy

    Natafuta kazi

    Naitwa Godfrey john nina umri wa miaka 23 ni fundi nafanya welding na fabrication ngazi ya certificate nina uzoefu wa kutosha natafuta kazi nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote ile .napatikana kigamboni dar es salaam number yangu ya simu ni 0652869536.na email yangu ni godfrey0aaaz@gmail.com
  8. flafy

    Natafuta dalali wa kuniuzia mbwangu

    baba wa watoto
  9. flafy

    Natafuta dalali wa kuniuzia mbwangu

    Bei laki nne ila dalali uje inbox tuyajenge vizur
  10. flafy

    Natafuta dalali wa kuniuzia mbwangu

    Nina mbwa wa kizungu aina ya maltese hivyo natafuta dalali wa kunitafutia soko nichek kwa number hii kwa mawasikiano zaidi 0719708708 whatsup.
  11. flafy

    Mbwa wa kizungu wanauzwa

    Nauza mbwa wa kizungu kwa gharama ya laki nne na nusu ila mazungumzo yapo.kwa mawasiliano zaidi 0719708708wazazi wao hao .karibun
  12. flafy

    Mbwa wa kizungu wanauzwa

    Nauza mbwa wa kizungu bei ni laki nne na nusu ila mazungumzo yapo kwa mawasiliano zaidi nichek kwa number hii.0719708708karibun
Back
Top Bottom