Recent content by Fizzo One

  1. F

    JamiiForums Tanzania Papy Kabamba Tshishimbi AS Vita

    Ni anafanya trial ndo wamsajili,maana As Vita ishafanya usajili wa wachezaji kadhaa toka Mauritania na kam watatu hivi toka West Africa. Tshishimbi ni kama wanamcheki fitness yake.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ukiniuliza ni kwanini leo nina Furaha ya ‘ Ajabu ‘ basi sababu zangu Kuu ni hizi Nne ( 4 ) tu

    Japo mimi si mwenyeji wa Mara ila nilishaishi huko na nimefurahi kwa Biashara kubaki ligi kuu na nina mpango wa kuagiza ile jezi yao mpya nyeupe imesimama kishenzi, natafuta logistics za namna ya kuipata ile jezi nadhani ndo jezi nzuri kwa timu za ligi kuu kwa sasa hasa baada ya udhamini mpya
  3. F

    JamiiForums Tanzania Invest in yourself through reading books

    naomba nitumie hapa fadhilikaimu@gmail.com
Back
Top Bottom