Dr. Lukumayi ndie ameshinda kura za maoni kwa asilimia 61 (61%). Mgombea Noel Severe amepata 18% ila Severe anajinadi kuwa ndie atakaepitishwa hata kama ameshindwa kwa sababu yeye ndie anaetakiwa na Mh Rais na CCM Taifa. Tunajua Nguvu ya Chama kupata viongozi na tunaheshimu ila tunajua zaidi...
Katika wajuaji pori na wajivuni wewe unaongoza. Kama unafahamu eleza kwa ufasaha watu wajue sio kukejeli. Haya wewe unajua inakusaidia nini. Hovyo kabisa.
Nimeona clip Mkuu wa Mkoa Arusha anasema kuna mwananchi kanunua nyumba kashindwa kukabidhiwa nyumba aliyolipa asilimia 70 na kapewa kesi yaani ujambazi wa kutumia silaha na kituo cha polisi Usa River Arusha.
Nathibitisha baada ya ufuatiliaji wa miezi minne (4 ) Kituo cha Polisi Usa River...
Yaani akili ya hovyo sana hii. Hujui delegating maana yake nini. nyumbu wa hedi. Hyaunastahili kuongezewa mshahara kwa kipi unachozalisha. Yaani kwa mwezi unazalisha shilingi ngapi kukupa haki ya kuongezewa mshahara. Nyumbu nusu kilo kabisa.
Kwa tunaomjua Sendeka nawaambia hivi - Hii ni movie kajitengenezea ili kup[ata huruma baada ya kuona hana tena nafasi ya kuwa mbunge. Vijana wanamkimbiza balaa. Sio mara ya kwanza kuanzisha matukio. Alifanya hivyo Lobosireti 2020 akawaambia vijana wapigane ili wasiumizane sana ili ionekane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.