Recent content by Fisher88

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki tushirikiane kimapenzi hadi tumalize Chuo

    Endelea kusubiri mkuu atakupa baada ya kumaliza chuo
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini hospitali zina mchoro na picha ya nyoka?

    Ni alama ya matibabu inatumiwa na taasisi zinazotoa huduma za Afya.Historia yake ilianzia huko Guinea watu walikua wanatumia kijiti Kumviringisha mnyoo(guinea worm) toka mwilini. Mtu alikua anatembea na kijiti ata mwezi mzima hadi pale mnyoo mzima atapokua ameviringishwa kwenye kijiti toka mwilini
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kipindi cha nyuma nikiwa shule nilikua na mazoea ya kwenda nyumba ya jirani kwa rafiki yangu.Mida ya usiku sa moja moja kama kawaida nimefika nikiwa najiuliza kugonga mlango akatoka binti anaishi pale tumezoeana kiasi.akanichekeachekea pale kaniita nikamfata nyuma ya nyumba kuna migomba na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu bora ya kumuachisha mwanangu kunyonya

    Mtafutie mdogo ake ataacha kudeka
Back
Top Bottom