Recent content by fireandice

  1. F

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Afrobarometer zaonesha Tanzania inavyoongoza katika kupambana na umaskini Afrika

    Kuna vitu kweli Tz inapambana navyo.... ila sio umasikini.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye huduma bora za Polisi, Tanzania haipo

    Nilitegemea kuona wenzetu wa 0 rushwa wapo, akina kgm. Tanzania kuingia hapo nadhani tuipe kama karne zingine 2 ama tatu.:p
  3. F

    JamiiForums Tanzania Biashara nzuri ya uzalishaji isiyo ya umachinga

    Bakery sishauri, unless eneo limechangamka sana. Kama utaweza kuanzia nyumbani (au mahali ambapo huhitaji kulipia pango kila mwezi, mpaka ujenge base hata ndogo ya wateja). Nimeshafanya hio biashara, inahitaji usimamizi na ufuatiliaji wa karibu. Kama utaajiri mtu, jiandae kisaikolojia. Kila la...
Back
Top Bottom