Recent content by fine boe

  1. fine boe

    JamiiForums KERO Tumebadilishiwa vituo vya kufanyiwa intern siku moja kabla. Tunaomba mfumo uanze upya

    Habari, madaktari wenzangu. Changamoto yetu sisi madaktari tunaotarajia kuanza mafunzo kwa vitendo (Internship) inahusu utaratibu wa upangaji wa vituo unaosimamiwa na Medical Council of Tanganyika (MCT). Kila mwaka, huwa tunapewa nafasi ya kuchagua vituo tunavyopendelea kufanyia mafunzo hayo...
  2. fine boe

    JamiiForums KERO Wahitimu wa Udaktari tunalalamikia kufungwa mapema kwa dirisha la maombi ya Internship

    Sisi wahitimu wa udaktari tunaotarajia kuanza mafunzo kwa vitendo (Internship) tunalalamikia utaratibu uliowekwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) wa kutoa siku saba pekee kwa ajili ya kufanya maombi na kuchagua vituo vya mafunzo. Cha kushangaza, dirisha hilo limefungwa leo licha ya...
Back
Top Bottom