Recent content by finalverdict

  1. finalverdict

    BET hawako fair

    Nimependa ulichoandika
  2. finalverdict

    BET hawako fair

    Hiyo tuzo haiitwi "bet mwanamuziki haswa Africa" inaitwa "bet best international act Africa"
  3. finalverdict

    BET hawako fair

    Kwa kuwa bet ni ya wazungu, basi sawa
  4. finalverdict

    BET hawako fair

    Hapa nakubaliana na wewe asilimia mia... waimbaji wetu wengi live ni wabovu, kuanzia diamond hadi vanessa, bora jide na kiba
  5. finalverdict

    BET hawako fair

    Duh me sijaona Shari hapo boss zaidi ya hoja
  6. finalverdict

    BET hawako fair

    Nimekuelewa rafiki ila ni kwamba kashinda kupitia hizo nyimbo na sio kwa kuwa ni dj
  7. finalverdict

    BET hawako fair

    Unasemaje kimataifa hamna kitu wakati alishinda tuzo kubwa kuliko hiyo bet?
  8. finalverdict

    BET hawako fair

    Halafu inaonesha humjui blackcoffee... eti ni mwanamuziki ndio maana kapewa tuzo... huyo jamaa ana nyimbo zake kabisa, anatunga na kutengeneza beat then anawapa waimbaji waimbe.. lakini nyimbo zinabaki kuwa zake
  9. finalverdict

    BET hawako fair

    We mtoa comment naona una degree ya comedy.. eti coffee ni best DJ in the world hahaha unafurahisha, unaweza ukanipa ushahidi??? Kwa hiyo yeye ni bora kuliko David guetta, DJ Khaled nk? Haha duh!!!! Halafu ninaposema hajulikani sio kwamba hamna anayemjua.... mtu anayejulikana na mtu 1 kati ya...
  10. finalverdict

    BET hawako fair

    Naona unaongea kwa ushabiki zaidi... diamond anajulikana Afrika nzima pitia Twitter na social media mbalimbali utaona waafrika kutoka nchi tofauti wakirequest aende kwao.... kiba tu anajulikana kimtindo sembuse diamond? Huyo black coffee hajulikani kokote kule hapa Afrika na unashangaza kusema...
  11. finalverdict

    BET hawako fair

    Kabisa,bora angeshinda yemi alade maana pia alistahili kuliko huyu coffee...
  12. finalverdict

    BET hawako fair

    Ok ok okay naona Best International Act Africa ameshatajwa toka jana, here are my thoughts on BET. BET naona wameprove kuwa label za nje haziwezi kusimamia muziki wa Africa. Kwa mara ya pili mfululizo anashinda mtu asiyestahili, mwaka jana Stanbwoy wa Ghana aliwashinda Wizkid na Fally Ipupa...
Back
Top Bottom