Nafikiri ndiye yule waziri wa ajabu aliyenogewa starehe hotelini morogoro akakombwa dola nyingi za kimarekani, pesa taslimu za kitanzania, laptop, bastola, simu 2 za mkononi (blackberry), ipad na vinginevyo lakini serikali ikamwacha bila kumwajibisha kwa hasara aliyoisababishia kutokana na...
kadanganya historia huyu! mbona hajawaeleza watanzania kuwa alikushachepukia katika upinzani akawa kiongozi ktk nccr mageuzi. yaani pamoja na nyadhifa zote alizowahi kushika ktk ccm enzi hizo, kulitokea nini akawa mpinzani? je ilikuwaje tena yuko ccm sasa mbona haya yote hakuyasema maana ndiyo...
Kwani umeombwa?!!! Taifa limefika mahala hapa sababu ya wajinga wenye mtindio kama wakwako. siku hiyo ikifika we ingia uvunguni mwa kitanda chako ujifiche virungu mkeo atakusimulia akirudi nyumbani baada ya kudai 50x50
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.