Recent content by fimbo yamnyonge

  1. F

    hapo nani kampapalikia mwenzie?

    David beckham huyo
  2. F

    JK Hatembei na Fuko La Fedha

    hamjiulizi kwanini mkuu alikuwa mkali katika sehemu zile imalinyi na ilembula..kumbuka imalinyi ni kijiji anachotokea adui wake wa kisiasa philip mangula na siku yenyewe ya tukio mangula alikuwa miongoni kwa viongozi waliokuwepo kumlaki.ndio maana akawa mkali pale muungwana pamoja na kuchangia...
  3. F

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    ""Hakuna Mpasuko wa kisiasa bali kuna mpasuko wa Wanasiasa Zanzibar"" Hadidu za zerejea katika misemo ya baba wa taifa imeeleza mambo mengi kuhusu huu mpasuko wa kisiasa Zanzibar.kuna maneno kama,.bila CCM imara nchi itayumba au upinzani wa kweli utatoka baina ya wana CCM wenyewe.kwa upeo...
Back
Top Bottom