Recent content by Filosofia ya Rorya

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

    Ukiangalia beret za Commandos wa Navy zina ufanano na beret za Commandos wa Infantry. Sijajuwa kwanini?
  2. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Luteni Jenerali Mstaafu, Balozi Martin Mwakalindile afariki dunia

    Enzi hizo kuliwa tayari kuna msamiati wa "dogo!?"
  3. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Luteni Jenerali Mstaafu, Balozi Martin Mwakalindile afariki dunia

    Musoma wana brain ya medani bhana, kuna Wakurya drs la 7 D kabisa wanarusha fighters na wameshinda medani (vita) nyingi ndani na nje ya jamhuri. Acha kabisa watu wanaokula samaki-maji-baridi brain power yao ni hatari.
  4. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Luteni Jenerali Mstaafu, Balozi Martin Mwakalindile afariki dunia

    Huyo Lupogo aiseee... !!!!! Nifuate inbox.
  5. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Luteni Jenerali Mstaafu, Balozi Martin Mwakalindile afariki dunia

    Ila wanapopoaga mawe misafara ya rais. Tabia mbaya.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Rais mrejeshe Kalemani wizara ya nishati Uchumi ukue

    Na wizarani na bodi pia wapo waliochoka kazi.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

    Kwa wale waliokwepa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria. JKT ni Divisheni ya JWTZ kama zilivyo Divisheni za Anga, Navy, Infantry, Commandos. Alama pekee ya kuwatofautisha ni beret. Infantry beret yao ni rangi ya kijani, Anga beret yao ni rangi ya bluu-mawingu, Navy beret yao ni rangi ya...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana ana kwa ana na mnyama gani mkali?

    Usikutane na Mamba huyo ni mjusi tu, kutana na Chatu.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Rais mrejeshe Kalemani wizara ya nishati Uchumi ukue

    Salutation yake kama Mbunge.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Rais mrejeshe Kalemani wizara ya nishati Uchumi ukue

    Nadhani ifike mahali tukubali kama taifa kuwa tulijikwaa pakubwa (tulikosea sana) kumuondoa Mhe. Dkt. Medard Kalemani MB toka kwenye Baraza la Mawaziri na Wizara ya Nishati. Hali tuliyo nayo ya nishati ya umeme Tz ni wazi kuwa hatuwezi kuvutia uwekezaji mkubwa zaidi tu ya uwekezaji mdogo mdogo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wakili Mkuu wa Serikali Aliombe Taifa Radhi Kwa Kulitweza Mbele ya Rais

    Kauli zandiki ya Dr. Boniface Luhende Wakili Mkuu wa Serikali WMS kumtaka rais atengeneze bajeti nyingine mpya ya ziada ya kuanzisha Kituo cha Pamoja cha Kutoa Haki (One Stop Center) kwa walioikosa sehemu stahiki zinazopaswa kutoa haki husika siyo kauli ya kipapa ambayo haiwezi kupingwa. WMS...
Back
Top Bottom