Recent content by filex

  1. filex

    Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

    Pole sana jione wewe ni Kama wengine ni wathamani sana! Umeumbwa na Mungu! Mwanadamu ni WA thamani sana akiwa Katika Hali yeyote ile kwa kuwa alichokiumba Mungu ni safi! Kizuri! Na Cha thamani Kubwa! Mungu hakosei
  2. filex

    Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

    Kwa kweli una tatizo kidogo la kisaikolojia linalokufanya ujihisi hauko sawa Kama unavyostahili, pili waweza kuwa na nyota ya mvuto, tatu waweza ukawa una mwonekano fulan ivi wa kuvutia wengi, ila kama hadi watoto wanakushangaa basi hio ni nyota ya mwonekano Kama nilivosema hapo juu, nne pengine...
  3. filex

    Utando mweupe mdomoni baada ya kupiga mswaki nini kinasababisha?

    Hio husababishwa na ulaji wa vyakula vyenye hamira kwa wingi au mara kwa mara, mfano mandazi,mkate n.k mabaki ya vyakula hivyo endapo yatabaki kinywani Zaid ya saa Moja hupelekea uzalishwaji wa bacteria ambao ndio husababishwa utando huo.hivyo ni Muhimu mara tu ulapo vyakula hivyo hata vingne...
  4. filex

    Mje tupatiane mbinu mbalimbali za kuomba mbususu

    😅😅😅 mambo ni moto uku😂
Back
Top Bottom