ni kweli kwa sababu iweje wachomoe matairi? ila mkuu aliwaambia wafanye tuu maana yeye ndo mkubwa akisema amesema hakuna wa kumuuliza na mtu akitaka kuuliza aende mjengoni akahoji...
nafikiri haitakua sawa wachomoe matairi na bado wakupeleke mahakamani... ni muhimu kuzingatia sheria! wanasahau sheria no msumeno ipo siku utawaka na wao:mad:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.