Recent content by fikirimswahili

  1. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango Muogope Mungu, Wanasiasa wanazika na kukuacha! Umetegwa ukategeka

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  2. F

    JamiiForums Tanzania Sasa kwenda Bukoba ni TZS 100K kutoka TZS 65K, LATRA mnafahamu hali halisi ya maisha ya Watanzania wenzenu?

    Wanaomiliki mabasi ni wakubwa wenyewe. Na ndio wanapanga bei. Dah!!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Upinzani tusameheni tunawaangusha sana, Ila kwa hili itisheni Press ya Kitaifa

    Kwa hiyo DP itafanya miujiza, ok.. Sent from my SM-A315G using JamiiForums mobile app
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nashauri tufute vyama vya upinzani vilivyopo tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kweli

    Mbona hata sasa hivi ccm iko peke yake yaani inafanya inachokitaka bila woga wala nini.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ajikanyaga Bungeni kuhusu kodi ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia ya Dhahabu

    Zingelipwa wasingetutoza tozo za miamala ya simu na benki..
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kiufupi suala la kupigwa risasi Tundu Lissu ndo chanzo cha awamu ya Tano kuchukiwa nchi nzima

    It will be knowm, ultimately. Historia haipotei.
  7. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Sina tatizo na maelezo yako marefu ila hiyo para ya mwisho sina uhakika nayo, kama ni wananchi au ni group la watu wachache.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya Lupaso Mtwara tumeyaona, tufanye marekebisho

    Yaani wanadamu acha tu. Kila utakachofanya watalalamika tu, bora kuamua kufanya nafsi yako inavyoona ni sawasawa bila kujali watasema nini
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Lissu, kumbe hata Majaji hawalipi kodi!

    Kwani wabunge hawalipi kodi?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mhe. James Mbatia Live on TBC! - Anaongea kwa Hisia Kali!, And Talks Very Sensibly!-Mvuto Je?

    Kama Pascal na Doto hawapo huwa naondokaga.
Back
Top Bottom