Recent content by fikiriaassistant

  1. fikiriaassistant

    Msaada jinsi ya kujiunga Sahara Ventures

    Kabla ya hayo yote ... Hakikisha App yako inajiendesha Kwa Maana Mpaka sasa inakuingizia pesa... Tatua Kwanza Hilo... Make sure Una wateja wa Kukupa pesa.... Si kushauri kuingia ktk kuweka matangazo, Bali watu wakulipe moja Kwa moja... Ijapokuwa sijui app yako inafanya mini Kikubwa iwe...
  2. fikiriaassistant

    Tengeneza Stori Fupi na Picha Zake kwa Command za Maneno Machache Tuu

    Baadhi ya Tool Ambazo Tumeziongezea Siku Recently - ijapokuwa ya Data analysis bado inatusumbua kutoleta majibu exactly, inachambua maelezo vyema na ku make conclusion ila ina confuse data... Maybe itabidi tuangalie model nyingine zilizo specialize in data analysis...
  3. fikiriaassistant

    Tengeneza Stori Fupi na Picha Zake kwa Command za Maneno Machache Tuu

    [emoji1783] The guy is very smart, Whenever anyone is carrying any complex AI or cyber security project, he must be considered first... Huyu jamaa ni guru, he know a lot both technical and commercial wise!
  4. fikiriaassistant

    Tengeneza Stori Fupi na Picha Zake kwa Command za Maneno Machache Tuu

    Yeah... Waweza jaribu ... Na kuna tools nyingine nyingi tunazidi kuongeza ku boost productivity ya Professionals na SME...
  5. fikiriaassistant

    Tengeneza Stori Fupi na Picha Zake kwa Command za Maneno Machache Tuu

    That is why we are calm boss... I understand it... Thanks!
  6. fikiriaassistant

    Tengeneza Stori Fupi na Picha Zake kwa Command za Maneno Machache Tuu

    - Mimi kwangu inafanya kazi... Na kuna wanafunzi wanaitumia, maybe check internet - 2021: Tunatumia AI models mbalimbali ambazo almost zote ni from outside the country, so we just customize ziendane na mahitaji yetu... Sasa model hizo zinachukua muda kutengeneza na zina data nyingi sana... It...
  7. fikiriaassistant

    Tengeneza Stori Fupi na Picha Zake kwa Command za Maneno Machache Tuu

    Artificial Intelligence in Tanzania: Tumetengeneza Artificial Intelligence platform ambayo inaweza kukusaidia kuongeza ufanisi na productivity ktk kazi zako, leo nita share vitu vichache kidogo ambavyo inaweza kukusaidia - kuelezea documents za kisheria lugha rahisi sana (legal documents...
Back
Top Bottom