Kwanza kabisa naomba nieleze Kwa ufupi ni kivipi nchi nyingi za Ulaya zimeweza kuwa vinara katika maendeleo ya uchumi, majeshi, miundombinu ya usafiri, usalama n.k tofauti na nchi za Africa ikiwemo Tanzania
Moja nimegundua kwamba nchi nyingi za Ulaya zinaheshimu na kuwekeza sana katika sayansi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.