Recent content by fikiri nyenzi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa Viongozi wa CHADEMA

    Huyo mwenezi ni mnfiki na mtu anaye jipendekeza kwa mbowe haujui kama mbowe ni mwenyekiti mbowe ni afisa ugavi wa chadema mbowe ni bank ya kuikopesha cdm mbowe nianatumia pesa za ruzuku kumkopesha slaa cdm ina maofisi mabaya sana za mkoa na wilaya wakati kazi za ruzuku nikuhudumia chama mbowe...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nini kiliitoa Manispaa ya Nyamagana kutoka CHADEMA na kurudishwa CCM?

    Chadema kilikuwa chama kizuri sana kama hamuko makini mjue mnakiuwa nyinyi wenyewe mtajuta ruzuku zitapungua mulikuwa mko vizuri sana lakini hako ka zee kenu ka slaa kanainywa cdm kanagombana sana na wanachama kanajenga sana makundi ndani ya chama kana jazba sana kakali sana kanapenda makundi na...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nini kiliitoa Manispaa ya Nyamagana kutoka CHADEMA na kurudishwa CCM?

    Cdm wanajila wenyewe wamurudishe zito wamurudishe matata na mwingamba wamurudishe diwani wa katoro wamrudishe mwenyekiti wa arusha wamurudishe na yule wasingida na kazi hiyo afanye slaa padri azingatie maneno y mungu kumusamehe mwenzio 70x7 ukiwasamehe mtajenga chama ni watu wenu yesu alikaa na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nini kiliitoa Manispaa ya Nyamagana kutoka CHADEMA na kurudishwa CCM?

    Unyosema ni kweli kabisa madiwani hawkuwa na makasa ya msingi walikuwa hawatakiwi na wabunge kwa ajili wa umkini wao na hao ndio walio ijenga chadema mwanza mtu kama mh matata aliwatesa sana ccm na sasa wamegundua uwezo wake wamemkumbatia kiasi cha kumpa umeya leo ukuiuliza waze e wa chadema...
Back
Top Bottom