Unamtuma mtoto akaibe tofali site za watu akuletee, si umpe mchanga na cement akupigie tofali kama unataka kumfundisha au kumpa adhabu, akiiba leo akaleta hizo tofali kesho atakukaba akupore maana ulimfundisha, lazima ujiulize ninavyomtuma tofali atapata wapi? Mwingine hatasema nyumbani...
Ndizo athari nilizoziona nikaamua kuleta hili dokezo, nilielewa kwamba si watoto wote watasema nyumbani ili wasaidiwe, wengine wataenda kuiba katika site za watu, mwisho tunaongeza tatizo la maadili ila kuna watu hawaelewi, mtoto akianza kuiba tofali leo kupeleka shule kesho ataiba ili akauze...
Kumtoza mtoto hela kunamsaidiaje asiwe shoga? Mpe cement na mchanga apige tofali si kumwambia akanunue, pesa atapata wapi au ndio aanze ushoga ili apate pesa maana hafanyi kazi fikiri nje ya box
Kuna ujuzi wa kununua tofali soma vizuri, au unazungumzi ujuzi wa kuiba hela unafikiri watoto wrote watasema nyumbani kuwa wanatakiwa kununua tofali? Unamwambia mtoto akanunue tofali akuletee? Mpe mchanga na cement apige uone kama tutaongea,
Tuna tatizo kubwa la uelewa, hakuna anaepinga mtoto...
Kukimbia tatizo si kulimaliza, hapa ni mwazo wa kufikisha ujumbe kwa mamlaka husika, haiwezekani mwanafunzi ashindwe kuandika kazi au akose swali mzazi ukanunue matofali, kuna adhabu za kufyeka nyasi, kuchimba mashimo, kudeki madarasa na vyoo, hill la mtoto kutozwa pesa haikubaliki
Ndio mwongozo unavyosema mwanafunzi atoe pesa akifanya kosa? Tena kosa la kutokusanya daftari?
Bei ya tofali unaijua? Huyo mtoto anapata wapi 5000 tshs za kwenda kununua tofali na kuzileta shuleni? Au mmekula hela za ujenzi mnatafuta pa kuijazia?
Soma uelewe,sijasema kupiga tofali, mwalimu anamwambia mwanafunzi akanunue tofali hela anapata wapi? Ulishawahi kumpa mtoto tsh 10000 aweke ili alichelewa kumaliza kazi za darasani alipe kama adhabu?
Hii ni sawa na kulipia adhabu kwa pesa badala ya kazi na viboko, hakuna mwongozo wa elimu...
Je, huu ni ubunifu au kuwakomoa wazazi? Kinachoendelea katika shule ya Sekondari Mbande ni kitu cha kutizamwa kwa Jicho la kipekee kwa kuwa kina madhara yake na kisipozungumzwa na kutolewa maamuzi na mamlaka kitaleta shida.
Kumeibuka mtindo wa kuwatoza wanafunzi matofali matatu na kuendelea...
MATUMIZI SAHIHI NA SALAMA YA MITANDAO YA KIJAMII
Mara nyingi tumekua tunatumia mitandao ya kijamii bila kujiuliza juu ya usalama wa taarifa zetu. Tumekuwa kama mateka katika mitandao hii ya kijamii kiasi cha kusahau kuwa kuna hali ambayo tunaruhusu taarifa zetu muhimu kuwafikia watu wasio...
Katika siku za hivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaodai kuwa siasa ni kila kitu katika maisha. Je ni kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria ambayo ndio uti wa mgongo katika utawala bora?
Kwa Jicho pevu kabisa naweza kusema hapana si kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria. Ili kupata utawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.