Recent content by Fikira kali

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kinyerezi

    jamani nimeshusha bei natafuta mtaji
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kinyerezi

    watu wananunua mboga 10m unashangaa nyumba kuuzwa 200m?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Gesti inauzwa Chanika

    yah! yote ni matumizi ukitaka kufanya hivyo
  4. F

    JamiiForums Tanzania Jenereta inauzwa

    Ni king Max 3.5 kv. sh 300000 piga 0758041365
  5. F

    JamiiForums Tanzania Gesti inauzwa Chanika

    Ina vyumba vitano vyote self bado finishing. 25000000 .picha baadae 0758041365
  6. F

    JamiiForums Tanzania Gesti inauzwa Chanika

    Ina vyumba nane vinne master leseni ipo ni ya kuinua (renewing) vifaa vya ndani hakuna. sh 35000000 Dalali hatakiwi. Picha nitaweka baadae. Pia Kisima kipo cha kusafisha kwa power compressor. 0758041365
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kinyerezi

    IPO Kinyerezi kwa Ditopile ina vyumba vinne sebule 2 jiko na sehemu ya chakula vyumba viwili ni master, ina full paving blocks na Maji baridi ya Kisima na wateja 11 wamefunga mita za maji.ina uzio na fremu tatu bei150m maongezi yapo 0758041365 ni yangu
Back
Top Bottom