Recent content by fijomu

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo, we acha tu!

    Heee jamani niulize mm kidumu kimebeba mume wangu amezaa nae mtoto nimekuja kugundua wakati mtoto ameshazaliwa ana miezi sita sikuamini macho yangu kuna usemi unasema:mwanamke kujiamini dhubutu yako lazma ukae kama yule mnyama anaitwa Swala vinginevyo yatakukuta yaliyonikuta mm inauma sana,ila...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha shake well before use,kitchen party honey moon bado vina umuhimu?

    Mh jamani hiyo jikoparty mnayoongelea ukiifuatilia vizuri utatamani serikali izuie yaani ni kuvua nguo mtindo mmoja nenda Tanga ukajionee,au kwa vile mie mchagga mtasema mm mshamba kazi kwenu pale kizuri zawadi tuuuu
Back
Top Bottom