Recent content by Fighter8

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ahsante Mwifa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ahsante Sana, japo mm Ni mdada
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Namshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza 20,000 hadi 30,000 per day?

    Nitafute 0789222279
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza 20,000 hadi 30,000 per day?

    Njoo uuze DAGAA nyamanono kutoka Mwanza, hakika hutojutia. Fanya delivery kula wakati na Mungu atakusaidia
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    Karibu 0789222279
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    Hatupimi kwa kilo kaka, lakini Kuna 2000, 3000, 5000 na 10000
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    Karibu
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    KRib
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    Sio hivyo kakayangu, namaanisha sehem ambayo inafikika ki urahisi
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    Unapata, 2000, 3000, 5000, 10000
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    Delivery n sehemu ya kituo tu kaka
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    Isizidi mwezi mmoja kaka maana itapoteza ubora wake
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    Unaanza na Sado kaka, karibu 0789222279
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    Kaka, bei uloitaja sio yenyewe kabisa, halafu Hawa dagaa wanatumia mafuta mengi Sana, bado kuni, viungo, waoshaji, wachambuaji, anauekaanga, kubeba mzigo mpaka stand na kusafirisha! Faida hapo sio kubwa Kama unavofikiri, Ni vile dadayako nmeamua nijiajiri baada ya kukosa ajira. Karibu sana
Back
Top Bottom