Recent content by Fighter101

  1. F

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mbagala Rangi Tatu kuhamishiwa Kijichi, sababu ni nini?

    why now. huyo mwenye eneo alikuwa wapi miaka yote hiyo
  2. F

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mbagala Rangi Tatu kuhamishiwa Kijichi, sababu ni nini?

    Kuna mtu atapewa hilo eneo la stand ya zamani soon.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Heshima ni ya kutafuta siyo ya kupewa

    Naomba niweke mambo sawa hapa. Inawezekana unaona kuna watu wanaheshimika sana wengine ndo ivo, ni hivi wale wanoheshimika hiyo heshima wameitafuta hawapewi iviivi. Njia mojawapo ya kutafuta heshima ni kufanya mambo mazuri na makubwa kiasi kwamba wewe unakuwa mfano kwa wengine. So usikae...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

    naona mnavyo tapatapa na bitozo hababebeki yaani mnashindana na mfu, au nanyi mmekufa pia
  5. F

    JamiiForums Tanzania Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

    mbona mkisikia jina magufuli mnajambajamba why lakini
  6. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Mawaziri wa CCM hawana majibu usiwabane sana

    ulizia yaliyomkuta marehemu samweli sitta ndo utajua naongelea nini.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Mawaziri wa CCM hawana majibu usiwabane sana

    Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri. Sasa mama wana CCM hawapendi mambo kama hayo na usirudie kuwabana mbele ya kadamnasi namna ile, utaundiwa zengwe...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

    kapigwa na kitu kizito kichwani. maombi ya watanzania yameenza kujibiwa
  9. F

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Haya ni matokeo ya utawala kibogoyo
  10. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda nimekumisi

    kuna pahala una neemeka
  11. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda nimekumisi

    Kwa akili hizi, ndo maana wazungu wanasema waafrika zamani tulikuwa nyani. reasoning and thinking capacity ni sufuri sufuri "0000000000000000"
  12. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda nimekumisi

    Mtindio wa ubongo unakusumbua, huyu makala wako anayesema ameweka polisi 300 ni wa kike au makala ni mwnamke kumbe hatujui
  13. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda nimekumisi

    Huyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama Makonda. Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Makamba, Mwigulu au Nape watakuja kuwa ma Rais wazuri sana!

    Leo nilikuwa sina mpango wa kutukana mtu, itoshe kusema wewe ni kenge
Back
Top Bottom