Recent content by field marshall1

  1. F

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Kama ni mali yake, muda wowote ule ana haki ya kubadilisha jina. Siyo lazima aambiwe ni lini abadilishe.....Mtaumia sana miaka hii......Ila huyo anayevizia mali za wanawake, nafuu na yeye angejiua tu, maana maisha yake yote atakuwa gerezani....Si rahisi atoboe.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

    Yaani nchi hii sijui ipoje, waandishi ni wa ovyo mno, wanaogopa watafuatwa na kutekwa, yaani sijui kwanini wanaruhusu huu upumbavu.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

    Watu ambao wanatakiwa wawe duniani ni kama wewe, Samia na sheikh ubwabwa Mwaipopo na Tlatlaah? Wewe kweli akili yako ndogo sana.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

    Huyu hata huwa haeleweki. Muuaji wa watanganyika. Dhalimu sana huyu mama.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 100% nyuzi zangu zinasomwa na wahusika sasa nawambia hivi anaemtuma Mwaipopo ni mpumbavu kama Mwaipopo

    It is not free opinion, it is just your stupidity which cannot be tolerated when someone of little caliber like you trying to bring to a great thinkers.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

    Wewe ndiye ufutwe na urudishwe kwenu huko Mchambawima. Mjinga wewe.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 100% nyuzi zangu zinasomwa na wahusika sasa nawambia hivi anaemtuma Mwaipopo ni mpumbavu kama Mwaipopo

    Is not completely nonsense, It is damn truth, but simple truth.....WHOEVER IS SENDING MWAIPOPO TO SPEAK OUT WHATEVER HE DOES.....She or he is dumbest person in this world. Endelea kuongea ili wakupe pesa fala wewe, wewe ndiyo Yuda unayepewa vipande 30 vya fedha ili uongee ujinga. Lini utakua.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nimepata vipele kwenye ulimi baada ya kuzama chumvini kwa mke wangu

    Inaweza kuwa tatizo la Herpes Simplex viruses, inaweza pia ikawa canker sores au Oral thrush infections, cold sores as result of fatigue. kimbia hospital mapema wakuangalie inawezekana umepata viral infections, utasaidika ukiwahi hospital. Ila usiwe na wasiwasi utapona vizuri tu.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Freeman Mbowe. Hapendwi mtu ila pesa kwanza. Anamchukia TAL kuliko ambavyo angemchukia SSH aliyemtia gerezani miezi 8+ bila kosa!!

    Mbowe huwa ana shida sana, ametufikisha pabaya kwa kununulika. Nchi hii ina shida sana, na mtu kama Mbowe amevuruga sana upinzani amevuruga mno, hafai hata kidogo. Mbowe alikuwa mbaya na ni mbaya sana.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nimeumizwa sana na Kifo cha Mume wa Rais Samia hadi kushindwa kutulia Wiki nzima. Watanzania Tumuombee Rais wetu katika kipindi hiki kigumu

    Wewe unahusika na nini kwa mume wa mtu? Unashindwa kutulia kwa vipi? wewe ni mkewe pia? Wakati mwingine uwe unaacha mambo ya kipuuzi ambayo hayakusaidii lolote. Mwashambwa acha ujinga wewe.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ni Aidha Katambi ana changamoto ya Afya ya Akili au Obsession au amekosa objective na Mission kwenye Wizara yake

    Mwigulu Madelu NCHEMBA pia ana tatizo hilo kubwa sana. Hana tofauti sana na huyo Kitambi au Katambi.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana

    Wanawapoteza watanganyika, na siyo watanzania. Kwao wazanzibari ni sawa, hawaguswi......Ni sisi tu watanganyika
  13. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

    Utafiti gani unaoonyesha kuwa samaki akikua anapoteza AKILI???? Mambo ya kwenye taarabu ya kipumbavu! Kiumbe chochote kile kikikua kimwili na kiakili kinakua.....Utafiti wa kuwa samaki akikua anakuwa na Dementia umepatikana vipi? Huyu mama asituletee upumbavu wake wa kijinga. Sorry wazanzibari...
  14. F

    JamiiForums Tanzania 'Deogratias John Ndejembi' tukiacha asili yake, ana sifa gani za maana kwa cheo kikubwa kama hicho?

    Atakuwa ana wakati mgumu sana, kwa haya yanayotokea sijui kama atatoboa kwenye nchi hii. Mpango hakuweza kuendelea, Nchimbi alijiuzulu, huyu anayekuja utakuwa ni muendelezo huo huo. Hakuna litakalobadilika, hadi makamu wa rais anakuwa censored, ni ngumu sana ndugu zangu watanganyika. Leo huduma...
Back
Top Bottom