Recent content by fidel2touch

  1. F

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Mi nadhani umri tuliofikia Tanzania ni wa kuweza kutofautisha punje ya mchele na mchanga. MCC 2 ni secta binafsi za USA. Ni kituko secta binafsi kuzipangia serikali za nchi nyingine nini wafanye na nini wasifanye. Kwa hilo nipongeze JPM kwa ujasiri aliouonyesha. Jiulizeni mbona MCC 1 haikuwa na...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Rais Magufuli wameanza kupokea rushwa?

    Dah! Hapo sitii neno. Mmenikamata. Ngoja tusubiri atasemaje majaliwa
  3. F

    JamiiForums Tanzania Serikali yasimamisha uchimbaji wa makaa ya mawe mgodi wa Ngana wilayani Kyela

    Ndicho nnachompendea Muhongo. Haya majipu yataisha tu. Vitu vya national wide sio vya kulala na kuamka. Huchukua muda kuvirekebisha. Big up
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tabora washika nafasi ya mwisho Mtihani wa Darasa la 7

    Naishi tabora mwaka wa 5 sasa, Barabara ndo zinajengwa na kwa mbali ndo mabadiliko yananukia. Nnachoupendea mkoa huu, wanawake ni wengi na sio wasumbufu kama mikoa mingine
  5. F

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea: Sijagombea PAC, sijagushi jina wala Zitto hajui MwanaHalisi ilivyoanza

    Hebu tubadilike watanzania, Tusikimbilie makaratasi kwani hata huko chuo kwenyewe wengine wanapata GPA nzuri kwa kuinama au kushika meza za wakufunzi wako. Cha msingi tuangalie mtu ANADELIVER nini? Hilo litatutoa hapa tulipo!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Toa marks zako kati ya kumi kwa sura hizi ambazo ni common kwa jamii yetu bongo

    Namba 6, nimempenda kiukweli
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kikwete akagua Mradi wa Maji!

    Mmh! Kazi ipo kwa kweli
Back
Top Bottom