Kupendana anakozungumzia Father Kitime inabidi kulazimishwe na Katiba ya Nchi. CCM haiko tayari kukubali kutendewa sawa na vyama vingine, kwa sababu iliyo wazi kabisa, kwamba hili likitokea ndiyo mwanzo wake was kupoteza madaraka.
Vyama vingine vikitaka usawa wadai katiba mpya na wala si tume...
Natamani ningekuwa mbunge wa kike na Mjumbe wa NEC ya CCM ningemshawishi kwanza Spika wa Bunge amwite Mwenyekiti wetu kwenye kikao cha Kamati ya Wabunge wa CCM tuzungumze naye na kumshauri kwamba suala la mtoto aliyepata ujauzito akiwa shule kuendelea na masomo ni sera ya chama chetu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.