Recent content by Festi mbuya

  1. Festi mbuya

    Mahusiano yenye changamoto za ushirikina na kulazimishana

    Hello habari, nina changamoto kidogo naomba msaada, mwaka jana mwezi wanane nilikutana na mwanamke na nikaanzisha naye mahisiano na sababu ilo fanya mahusiano yaendelee alipodai kuwa anaujauzito niliendelea kumsapoti nilipoweza mpka ulipofika mwezi wa kumi na mbili ambapo alidai ujauzito...
  2. Festi mbuya

    Huwa unafanya nini unapotongozwa mtandaoni?

    Naomba kujua kama huwa kuna mwanaume huwa an a tongozwa kwenye mitandao ya kijamii
Back
Top Bottom