Recent content by fessy

  1. F

    Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Hakuna maisha yasiyokuwa na changamoto dada, la msingi omba Mungu na pia tafuta nafasi mshaueiane kama atahiyari basi muwaone wataalamu wa uzazi ili mjue kama matatizo ya kuzaa yanaweza tatuliwa msaidiwe.
  2. F

    Swaga za huyu mdada zimeniogopesha nahisi ana upeo sana atanisumbua

    Umechemka tu kaka, hukupaswa kuogopa. La msingi ungevyta muda na baadae ungejua siri ya urembo iko wapi, simple as that.
Back
Top Bottom