Recent content by Fernandez ERA

  1. Fernandez ERA

    Maslahi ya nje ya mikataba ya kazi yanalipa sana kuliko mshahara

    Nimesikiliza leo Crown Fm na hoja ya wachambuzi kuhusu timu 6 kuandika barua kudai haki kutokana na unyonywaji na marefa. Nimeshangaa sana badala wachambuzi kushikilia msimamo na haki kuokoa soka letu, lakini hoja zilizokua zimejaa ni “mbona mwaka ule Yanga alifanya hivi, Mbona mwaka ule Simba...
  2. Fernandez ERA

    Endapo CHADEMA itakaidi kutekeleza maamuzi na Maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini, inaweza kuchukuliwa hatua zifuatazo

    "Endapo Chadema itakaidi kutekeleza maamuzi na Maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini, inaweza kuchukuliwa hatua zifuatazo. 1, Kuzitaka Mamlaka husika zichukue hatua za kisheria za kijinai kwa mujibu wa kifungu cha 8B cha sheria ya Vyama vya siasa kwa wahusika wanaojinasibu kuwa...
Back
Top Bottom