Recent content by FELIX MSILIKALE

  1. F

    NENO LA MUNGU MTAKATIFU ALILOLIONA MWONAJI AKALIANDIKA.

    MIMI MTAKATIFU BWANA YESU KRISTO NASEMA; NENO LANGU LIMEGEUZWA DUNIANI NA WACHUNGAJI. Mimi Mtakatifu BWANA YESU KRISTO nasema hivi, neno langu linavyogeuzwa na wachungaji wanaohubiri katika makanisa yote duniani na kuniudhi sana mimi BWANA YESU KRISTO Mtakatifu, napenda kuyasema makosa yote...
  2. F

  3. F

    Habari njema ya ufalme wa Mbinguni

    Hatuko kibiashara ndugu, karibu usikie neno la Mtakatifu BWANA YESU bure.
  4. F

    Habari njema ya ufalme wa Mbinguni

    Asante sana ndugu, lakini soma luka4:16-21, math12:8, isaya58:13-14, Yoh15:9-10
  5. F

    Habari njema ya ufalme wa Mbinguni

    Pole sana ndugu kwa yaliyokukuta, jambo hili ni la uhakika si jambo la kubahatisha au kujitungia ndugu.
  6. F

    Habari njema ya ufalme wa Mbinguni

    Hakuna malipo yoyote ya huduma ya maombezi. maombi yote ni bure. karibu kanisani uongee na Mtakatifu BWANA YESU KRISTO kupitia Mwonaji wake.
  7. F

    Habari njema ya ufalme wa Mbinguni

    HABARI NJEMA YA UFALME WA MBINGUNI Je duniani mna habari kwamba yupo nabii wa MUNGU Mtakatifu? Kama hamna habari basi nabii huyo yupo hapa duniani, na biblia imemuelezea ya kwamba atakuja kutayarisha ujio wa mara ya pili wa Mtakatifu BWANA YESU KRISTO. Nabii huyo ametabiliwa katika biblia hatua...
Back
Top Bottom