Recent content by Felicity

  1. F

    Ukweli kuhusu pesa za kujikimu za walimu

    cc wilayani kwetu hazipo na tumeambiwa turudi nyumbani.
  2. F

    Ukweli kuhusu pesa za kujikimu za walimu

    Tunashangaa Tamisemi kwenye tangazo lao walisema pesa za kujikimu tutazikuta kwenye halmashauri zetu lakini cha ajabu watu wamefika kuripoti halmashauri wamejaza tu mikataba na vitu vingine vyote kisha wakatangaziwa warudi walipotoka kwa kuwa pesa za kujikimu hamna. Hii serikali yetu vipi jamani?
  3. F

    Msaada wa kupata tempo

    nashukuru kwa ushauri
  4. F

    Mwalimu wa Sayansi anahitajika

    MIMI NAFUNDISHA CHEMISTRYNA BIOLOGY SAWA NA HITAJI LA HIYO SHULE. NIMEMALIZA SUA MWAKA HUU BSc. EDUCATION YA MASOMO HAYO. NIPO MBALI NAOMBA CONTACT ZA HYO SHULE.
  5. F

    UDSM, DUCE and MUCE: Shift from Unit system to credit system

    Hapo kusinzia hakuepukiki tuulizeni wa Sua.
  6. F

    UDSM, DUCE and MUCE: Shift from Unit system to credit system

    Mtazoea tu mbona Sua ndo hivyo miaka yote lecture ni 3 hours
  7. F

    Niulize Chochote kuhusu DUCE

    Jamani huku duce mkopo vipi?
  8. F

    Msaada wa kupata tempo

    Habari wakuu, Nimemaliza Chuo Bsc. Education (Chemistry And Biology), Natafuta Kazi Ya Kufundisha Kwa Muda Wakati Tunasubiri Ajira Toka Serikarini, Nipo Morogoro. Natanguliza shukraan
  9. F

    Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

    Kama Una 100% Mkopo, Utalipa Tu Zile Fedha Za Awali Kwa Ajili Ya Registration Ni Kama Laki Na 98 Kama Hakutakuwa Na Mabadiliko Pamoja Na Hela Ya Accomodation Kama Pia Utahitaji, Ambayo Nayo Nackia Imepanda Maana Mwanzoni Ilikuwa Elfu 80, Sahv Nackia Ni Juu Ya Hapo.
  10. F

    Geographia ya SUA

    Sio first year wote wanaoreport campus ya solomon mahlangu ila kuna baadhi ya kozi zilizoteuliwa kusoma kule tena kwa miaka yote mi3 ikiwemo education, environmental science, rural, aea etc. Lakini first year wengine wanaripoti kule kule main campus na wanasoma kule miaka yote.
  11. F

    Kwa waliochaguliwa SUA

    Kwa anayeanza 1st year registration fee ilikuwa 198000 kama watakuwa hawajapandisha.
  12. F

    Natafuta nafasi ya kufundisha

    Nimemaliza Sua Bsc Education
  13. F

    Natafuta nafasi ya kufundisha

    Wapendwa natafuta nafasi ya kufundisha masomo ya Chemistry na Biology, mwenye kujua shule yoyote ya private iliyopo Morogoro inayohitaji mwalimu wa masomo hayo naomba tuwasiliane.
Back
Top Bottom