Swala la kwamba nisigombee si uamuzi wa mtu fulani. hivyo wanao sema zitto asiseme sasa wanakosea walipaswa kuanza mchakato wa kuweka kanuni ya lini mtu aseme NATAKA KUGOMBEA CHEO FULANI na sio wao kugeuka kanuni. KAMA KWELI kila mtanzania ana haki ya kuwa raisi wa Tanzania kwanini watu wana...
Hivi Zito anashindanishwa na Dr. Slaa kwa vile amesema anataka Uraisi 2015? Kweli Watanzania wenzangu tumekosa cha kujadilii sasa tunaanza kujadili shauku za wengine? Tunakokwenda uenda akitokea Mtu akatangaza kuwa nataka kulala chumbani kwangu basi marumbano yataanza mara moja kwenye mitandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.