Recent content by Fela Kuti

  1. Fela Kuti

    Angalia hapa viwango vipya vya mishahara ya wafanyakazi wa serikalini

    Habari Wajumbe hivi scale ya mcss4 ni shillingi ngapi take home na ile ambayo before taxation?? Msaada tafadhali.
  2. Fela Kuti

    Mining engineer anaweza kusoma master of science in civil engineering specialized in Pavement Engineering?

    Habari Wana jamii forum, hivi Kuna uwezekano mining Engineer kuweza master of science in Pavement Engineering? Majibi yeni ndio msaada wangu. Asanteni sana.
  3. Fela Kuti

    Mining engineer anaweza kusoma Msc /M.Eng in civil (structural)? Na Kuna possible ya kupata fully funded sponsorship for master degree?

    Ndio Nina mpango wa kufanya master ya structural, Kuhusu kuomba sponsorship bado nilikuwa naulizia kwanza. Asante kwa reply.
  4. Fela Kuti

    Mining engineer anaweza kusoma Msc /M.Eng in civil (structural)? Na Kuna possible ya kupata fully funded sponsorship for master degree?

    Habari Wana JF, Inawezekana Mining engineer kusoma master of civil (structural) engineering? Na Kuna uwezekano wa kupata fully funded sponsorship ya kusoma master?
Back
Top Bottom