Recent content by fedson goodness

  1. F

    JamiiForums Hivi kwa wakazi wa Siha na Kinondoni kuna mgombea yeyote anayejinadi kupitia michezo?

    Kwenye majimbo kadhaa hapa nchini kwetu kunafanyika uchaguzi wa marudio, uchaguzi ambao kampeini zimejawa na Sera za kila aina, lakini wasiwasi wangu ni je katika kampeini hizo kuna mgombea yeyote anayejinadi kukuza michezo jimboni kwake? Achilia mbali kugawa jezi,mipira na vifaa vingine vya...
Back
Top Bottom