Recent content by FEARLESSMOM

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tuliombee Taifa na Tumuombee Rais wetu

    Goma bado hili
  2. F

    JamiiForums Tanzania Miaka 11 ya kupambana kuelekea uhuru wa kifedha

    Kitu chochote unachopenda....kitu chenye passion na ww..sikiliza sana sauti yako..mm nimejitafuta sana...hatimaye nimejipata
  3. F

    JamiiForums Tanzania Miaka 11 ya kupambana kuelekea uhuru wa kifedha

    Hapana siko Dar
  4. F

    JamiiForums Tanzania Miaka 11 ya kupambana kuelekea uhuru wa kifedha

    Mods wamehold comment yangu...nadhani amejikanganya
  5. F

    JamiiForums Tanzania Miaka 11 ya kupambana kuelekea uhuru wa kifedha

    Uko serious au unanitania mkuu😊😊..haya asante,lakini niko sawa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Miaka 11 ya kupambana kuelekea uhuru wa kifedha

    Mwaka 2009 ndipo nilianza rasmi ujasiliamali..hii ni baada ya kutoka chuoni na mbaya zaidi na kujigundua mjamzito. Sipo hapa kuelezea nilipotoka kwasababu nataka privacy na sipend kujulikana kupunguza usumbufu Leo nipo hapa kuwatia moyo especially wale wenzangu na mimi wenye ari ya kupata...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Miaka 11 ya kupambana kuelekea uhuru wa kifedha

    Mwaka 2009 ndipo nilianza rasmi ujasiliamali..hii ni baada ya kutoka chuoni na mbaya zaidi na kujigundua mjamzito. Sipo hapa kuelezea nilipotoka kwasababu nataka privacy na sipend kujulikana kupunguza usumbufu. Leo nipo hapa kuwatia moyo especially wale wenzangu na mimi wenye ari ya kupata...
Back
Top Bottom