Recent content by FEAFAMILYGUY

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hii menu imenichekesha kweli

    Hahahahahaaaaa! Jamaa umenifurahisha sana, hasa hiyo "MBAINAMBLE" unajua wakikuyu wengi hupenda kuongeza "m" na "n" ambapo sipo, mfano: sambato, kambati, ungoro, kimberiti, bamba(baba), karimbu,n.k. Na pia kuna wengine huondoa hizo herufi na kutamka hivi: tebea, naeda, nyubani, n.k. Yaani kama...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

    Mwenye tetesi za lini matokeo ya kidato cha nne 2013 yanatoka atupie basi,wadogo zetu presha. Isije kuwa kama 2012 jama. Au ndo brn???!!!!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Lecturers UDSM acheni kutumia wanafunzi kusahihisha mitihani ya wenzao

    :flame:UKWELI WAKE UKOJE? UNATAKA KUNAMBIA KUWA MA-LECTURER WAMEFIKIA HATUA YA KUCHOKA KAZI KIASI HICHO? JE MWALIMU WA S/M AKIFANYA HIVO,WA KATA NA ADVANCE KADHALIKA,HICHO KINACHOZALIWA NA CHUO KIKUU KITAKUWAJE???!!!! JAMANI BONGO...:embarassed2:
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu ya msingi heslb kuwanyima watumishi mkopo?

    Kwa mawazo yangu ninadhani mikopo ingetolewa kwa woote wenye sifa bila kujali yupo kazini au la.Kwa mfano mwl kipato chake hakimwezeshi kulipia chuo cha private lakini pia izingatiwe yupo kazini hivo kumpata kurejesha ni rahisi kuliko yule ambae akimaliza chuo ndo akipata ajira ndipo makato...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya private bhana !!

    Mi nlidhani utaongelea ukubwa wa ada kumbe ugumu wa maisha!!! We unadhani ni chuo kikuu kipi wakupikie kama nyumbani kwenu!!! Rudi kwenu kalime ulezi.
  6. F

    JamiiForums Tanzania ushauri wa bure;kama unandoto hii usiende vyuo hivi

    UTAKUWA MJUKUU WA KINGUNGE WEYE:smile-big:
  7. F

    JamiiForums Tanzania ushauri wa bure;kama unandoto hii usiende vyuo hivi

    :director:SISHANGAI KUWAONA WATU KAMA WEWE HUMU NDANI!!! HII MBEGU MBAYA SANA!!!HIVI URAIS UNASOMEWA? HIYO COURSE IMEANZISHWA LINI KWENYE HIVO VYUO UNAVOVITAJA?!!!! WE KWELI KILAZA :smile-big:
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kauli ya mulugo kwa waliokosa mkopo

    EBANA MUNGU AWATANGULIE MAANA TUKO KWENYE KILIO KIMOJA.WENGINE TUKO MBALI SANA NA JIJI KUWEZA KUWAONA HAO WAKUU, TUNAWAUNGA MKONO KWA NJIA YA SALA NA IMANI.:amen:
  9. F

    JamiiForums Tanzania Heslb, continuing students hadi lini?

    Naulizia majina ya wale wanaoendelea na masomo ambao hawana mkopo na waliomba tena mkuu
  10. F

    JamiiForums Tanzania Heslb, continuing students hadi lini?

    :help:Waungwana napenda kujuzwa kuhusu continuing students kama bodi washaoa majina wajameni.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo mawazoo!!

    INAKERA AISEE! UNAPOAMBIWA NA BOSI WA KITENGO ETI MAJINA TAYARI AFU WEB HAIFUNGUKI.BORA WANGETEGENEZA NAMNA WATUTUMIE KWA SMS MAANA WEB YAO MAWAZOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!! AH!!!!!!!!!!!!!:bolt:
Back
Top Bottom