Recent content by FBI_TZ

  1. F

    Zaidi ya dola milioni 10 mezani: Washington yaanza “bounty intelligence” dhidi ya viongozi wa Iran

    Kuna taarifa nzito kutoka Washington. Mpango wa tuzo wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani umeweka zawadi kubwa kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kuwabaini au kuwafuatilia viongozi wa juu wa Iran. Majina yaliyotajwa ni pamoja na Mojtaba Khamenei na Ali Larijani. Kwa mujibu wa taarifa...
  2. F

    Iran yakataa meza ya mazungumzo mara tatu. Je, Terhan inataka vita kwanza?

    IRAN YAKATAA MEZA YA MAZUNGUMZO MARA TATU JE, TEHRAN INATAKA VITA KWANZA? Kuna taarifa nzito zinazozunguka diplomatic corridors. Kwa mujibu wa msomi na mchambuzi wa siasa za Mashariki ya Kati, Moustafa Najaf, Iran imeripotiwa kukataa majaribio matatu tofauti ya kuletwa mezani kwa mazungumzo...
  3. F

    Tahadhari: Zawadi ya Azam ni mtego wa phishing, usiibonyeze link hii

    Kuna wimbi kubwa linaendelea kimya kimya kwenye whatsapp groups na mitandao ya kijamii. Link inasambazwa inaahidi milioni moja. Wengine wanaambiwa wamejishindia gari. Jina linalotumika? Azam group. Lakini ukweli ni huu hiyo ni fake campaign. Ni phishing. Acha mara moja kubonyeza hiyo link...
  4. F

    Ghuba ya Oman yawaka: Jamaran yazama, Iran yakosa nafasi ya kupumua

    MELI VITA MHARIBIFU YA IRAN YAPIGWA NA KUZAMISHWA!! Kuna taarifa zinazoenea kwa kasi zikisema corvette ya Iran ya daraja la Jamaran imepigwa na kuzamishwa katika kile kinachoitwa operation “Epic Fury.” Vyanzo vya mtandaoni na war trackers vinadai meli hiyo imeathirika vibaya na kwa sasa...
Back
Top Bottom