Recent content by Fazilijr

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    habari yako ndugu nime soma kwa makini your message kwenye thread yangu naona hili wazo la lodge liko fresh sana. una mtu yoyote ambaye anafanya hii biashara? au ndugu wala rafiki? au mwenyewe una experience nayo? kama una experience kidogo hivi kwa mtaji wa 200M unaweza kamilisha kila kitu(...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wazo la biashara isiyohitaji usimamizi mkubwa

    hipo we nitumie yako inbox alafu mi nikutafute
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wazo la biashara isiyohitaji usimamizi mkubwa

    Nyumba ya vyumba vingapi?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wazo la biashara isiyohitaji usimamizi mkubwa

    yoyote ambayo inaweza ikapatikana tu
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wazo la biashara isiyohitaji usimamizi mkubwa

    Business phone number haikuwagi private ndugu yangu, natafuta ideas za biashara tu ndugu kuna watu wengine hawapendagi ku share ideas zao in public na nikiona business idea yako ina make sense why tusifanye kazi remember kuna mtu anaweza kuwa na idea but anakosa capital why tusishirikiane?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wazo la biashara isiyohitaji usimamizi mkubwa

    Habari zenu ndugu zangu wana JF Nilikuwa naomba msaada wa wazo la biashara ambayo haitohitaji management kubwa sana. Mimi niko nje ya nchi na nimeajiriwa sitaki kuacha kazi yangu right away. Nataka nianze na uwekezaji wa 50M kwa kuanza. Ni biashara ipi ambayo unaweza fanya kwa kiasi hicho...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Nilikuwa nimeajiriwa sehemu now napenda ni move on
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    nilikuwa nafanya sehemu now napenda ni move on
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    sasa nafaidikaje
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Asante sana kwa wazo, nitalifanyia kazi
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    kwa experience yako mtu anaweza tengeneza kiasi gani kama faida kwa mwaka mmoja?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Ndo maana nimekuja kwenu ndugu zangu kama unayo wazo ya bidhaa niambie ndugu yangu
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    nime kuelewa boss wangu. kuna jamaa kaniambia biashara ya bar haina faida Sijuwi wewe boss wangu una experience na hiyo biashara?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Asante sana ndugu naisi mtaji wangu ni mdogo kuanzisha kitu kikubwa kama hicho. Au we unasemaje?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Asante sana ndugu, hizi biashara una experience nazo?
Back
Top Bottom