Recent content by Faza maword

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wazazi wa watoto hawa watatu wanaopelekwa Marekani

    Ama lile eneo ajali ilipotokea ipewe jina linalohusiana na hao wazungu either company yao or jina la hospital wanayopelekwa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Basi sina ujanja tena

    Ipo katika vipaumbele... Tena kwenye point mbili 1- uandisi wa viwanda 2-usanifu wa majengo na miundo mbinu
  3. F

    JamiiForums Tanzania Basi sina ujanja tena

    Yawezekana but we are not 100% sure
  4. F

    JamiiForums Tanzania Basi sina ujanja tena

    Me nimemaliza form4 2011 nina vigezo vingine vya kupata mkopo ila sio yatima nimekosa ikanifanya nilifanyie utafiti
  5. F

    JamiiForums Tanzania Basi sina ujanja tena

    Angalia majina ya udom mkuu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa ufafanuzi kuhusu utoaji wa Mikopo 2016/2017

    Huo ukumbi upo wapi wakuu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Basi sina ujanja tena

    Mwaka sio kigezo wapo waliomaliza 2008 wamepata
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Nimesoma shule za serikal zote
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Jamani eti uhandisi wa umeme haupo katika vipaumbele vya mikipo ? Maana mpaka sasa not allocated in first batch
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Me pia electrical not allocated
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Wacha watoto wa matajiri wakasome
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Noma sana Wengine tumechaguliwa course ambazo priority
Back
Top Bottom