Recent content by Faysz

  1. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kitanda

    5*6
  2. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kitanda

    Nataka kitanda cha mbao (aina ya bufa) 5kwa6 haijerishi kipya au used.....ofa yangu 200000, nipo mbagala
  3. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

    ahsante kwa msaada
  4. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

    picha hyo ndio hvohvo ilivyo ila nilionayo ni nyeupe sana kama ni sahihi na hyo unayoifaham basi tufanye biashara
  5. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

    simu yangu haina uwezo wa kupiga picha, ila natumia pc nakuonesha jinsi ilivo maana naangaika kupata msaada kwa njia tofauti
  6. Faysz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa shule ya kufundisha kwa huyu mwalimu wa GRADE A.

    upo wp ndugu, kaz popot
  7. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

    picha yangu au ya hiyo RUPIA
  8. Faysz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa shule ya kufundisha kwa huyu mwalimu wa GRADE A.

    yupo dar es salaam, temeke....ME
  9. Faysz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa shule ya kufundisha kwa huyu mwalimu wa GRADE A.

    Ameitimu katika chuo cha serikali nchini, hana ajira so anaomba hata msaada wa shule ya private kulingana na kiwango chake cha elimu yake [GRADE A CERTIFICATE] UALIMU ....................B URAIA.......................B M/JAMII.....................C K/SWAHILI.................C...
  10. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

    chukua namba yangu nipigie nipo dar temeke
  11. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

    mm nipo dar, temeke ndugu.....kama unaufahamu na ili nipigie, sijui soko ndomana naomba msaada huu, samahan sana
  12. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

    asante kwa msaada
  13. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

    samahan ndugu, kama unaufaham nielekeze ila sio kunitusi namna hiyo, TAPELI SIO JINA ZURI kwa binadamu ila kama nimepoteza muda wako kusoma post yangu nisamee mimi
  14. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

    makuti, kuna picha ya huyo mjerman kakaliwa na ndege na neno GUILELMUS II IMPERATOR, na upane wa pili kuna MAKUTI na maneno DEUTSCH OSTAFRIKA.. 1, RUPIE 1910, J
  15. Faysz

    JamiiForums Tanzania Nna Rupia 1, 1910 J, ya kijermani ya Afrika Mashariki.

    kwann naomba nijulishe kwasababu sijui lolote
Back
Top Bottom