Recent content by faykeys

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupona .

    Watu wengine jmn!!kams huna cha kusema kaa kimya haikugharimu.acha wenye ushauri wakumsaidia waje.daah!!kifupi umechosha mdau.
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdada anayejitambua anahitajika

    Mkuu kwann hutaki kumwaga sifa unazotaka nyingine..kufanya searching yako kuwa rahisi.na tuone tunamatch...fursa hiyo,ohoooo
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nauza....

    Kitenge cha makanzie kwa bei ya 35.tu.hukaa pic 4.tunafanya delivery sehemu yoyote kwa dsm.karibuni
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuacha mkurya rasmi

    Watu wapo makiniii kama c.i.a...asnte sana
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nauza gari

    This is the car.asante wadau..
  6. F

    JamiiForums Tanzania Makenzi

    Pata kitenge chako cha makenzi kwa wapendao,kwa tsh.35,000/- tu.pia tunafanya door to door delivery kwa wa dsm...yaani kitenge kunakufwata ulipo,iwe ofcn,nyumbani,umepoa mahali.m kitakufikia..karibuni sana.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Wa Laptop(pc)

    Mavuno house ipo jengo la pili baada ya jengo la nmb house posta kama unaelekea kwa yule askari.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nauza gari

    This is the car,napatikana dsm.asanteni wakuu
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hisia zangu kwa marehemu!

    Pole sana kwa mawazo juu ya marehemu,ila ningependa kukushauri kwa mtazamo wangu kuwa,si jambo jema la kutaka kuchora tatoo ya jina la marehemu,jaribu kumsahau tu,kama walivyosema.wadau wengine chochote chake ambacho unacho jaribu kuwa navyo mbali au uchome kabisa.pili hiyo tatoo unayotaka...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Wa Laptop(pc)

    Nenda pale posta mavuno house,floor ya kwanza kuna kijana mmoja ana ofc yake.anaitwa cheche,yupo.vizuri kama upo dsm mkuu.
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeumizwa na Mwanamke; sifikirii kupenda tena kwa sasa!

    Sawa kaka,yote ni maamuzi.so.long yanakupatia amani.kila la kheri.bora aisee kuliko ungeleta madhara kwa zile hasira.,haya kila la kheri.
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeumizwa na Mwanamke; sifikirii kupenda tena kwa sasa!

    Pole saana jmn,mweh!!wengine tunatamani hizo bahati,kupendwa,kujaliwa,ila ndio hivyo yote maisha,tunajifunza pis mshukuru Mungu ndiye ajuaye kipi kizuri kwako.usiseme hutopenda,kwani pendo huwa lipo tu,umpate atakayekupenda pia.baada ya yote jua tu ww si wakwanza,songa mbele kakayangu.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mafuta gani mazuri kwa ngozi?

    Sawa mkuu,simzuri sana na direction ila kwenye makutano ya zanaki na samora posta dsm,panda kama unapita burhan hospital,thn kuna dry cleaners thn next.kuda duka la vipodozi na urembo mwingine.hapohapo ulizia.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mafuta gani mazuri kwa ngozi?

    Mdau nilipotea ila yale mafuta ya queen elizabeth napofahamu wanauza yaliisha bt embu ni.pm nkupe direction unapoweza kuyapata nduguyangu
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nauza gari

    Corolla NZE,Bei inaanza 5.8millioni,automatic,1492Cc,white colour,with spirts rims,ac.Model ya 2001.atakayekuwa anahitaji ani pm tufanye biashara.asante!
Back
Top Bottom