Recent content by fawimwa

  1. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa Arejea Dodoma huku akiwa na Masikitiko Makubwa ya kuporomoka kisiasa Kanda ya Ziwa

    Kaka inakusaidia nini kuandika huo upuuzi,Lowassa Lowassa huna kazi ya kufanya,upende usipende hakuna wa kumzuia Lowassa.Hii nchi tutanamhitaji Lowassa ndio mwenye uwezo sababu ya chuki zenu binafsi ndio maana mnafuatafuata.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Mara Chacha Heche, akamatwa kupigwa na Polisi Mjini Dodoma

    Kaka emkey kauli zako zinakera bila uwepo wa polisi usingepata jeuri ya kuandika uozo ninataka mfanye fijo zenu muangaliwe tu,wewe chizi
  3. F

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Mara Chacha Heche, akamatwa kupigwa na Polisi Mjini Dodoma

    Hii nchi sio maabara ya kufanyia majaribio ya serikali tatu rasimu iliyotolewa juzi na mheshimiwa Chenge imetulia Safi sana,hatuko tayari kuona nyinyi CHADEMA mnaleta mandamano yasiyo na tija mshukuru Mungu tuna Rais mstaarabu na mwenye Utu uliotukuka lasivyo mungeona cha mtema kuni,tuna...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Mara Chacha Heche, akamatwa kupigwa na Polisi Mjini Dodoma

    Hongera wajumbe wa Katiba endeleeni na kazi nzuri wananchi tuko nyuma yetu,dua la mwewe halimpati kuku Chadema wasanii.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Mara Chacha Heche, akamatwa kupigwa na Polisi Mjini Dodoma

    chadema Chana cha wasanii na waigizaji! Ni lazima watu mamlaka iliyopo maana imewekwa na Mungu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa agawa Shilingi 200,000/= kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa (CCM) Mkoani Kagera

    Unaposema Lowassa Fisadi kwa vigezo vyako visivyo na mashiko ni sawasawa na kutukana viongozi wote wa serikali plus wabunge bila kujijua,na unastahili kukamatwa CCM is the best political party, na ili kiendelee kupaa Lowassa ndio Commander anayefaa.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa agawa Shilingi 200,000/= kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa (CCM) Mkoani Kagera

    Acha majungu usiletee maneno ya vijiweni kwenye javi hili na kujenga chuki,jamani tusishangae sana kila wakati watu kusema Lowassa nafanya hiki mara kile waswahili wanasema Mti wenye matunda ndio unao tupiwa mawe.Lowassa is a Presidential material.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa Mwaka 2015 ataingia Ikulu au Segerea?

    Kama mnasema Lowassa fisadi basi Viongozi wote wa serikali mafisadi maana hakuna masikini.Tabu yenu waswahili mtu akiwa na hela Fisadi!
  9. F

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa Mwaka 2015 ataingia Ikulu au Segerea?

    I strongly believe Lowassa is a tool of transformation.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa Mwaka 2015 ataingia Ikulu au Segerea?

    Let us discuss facts natuache matusi katika forum hii
  11. F

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa Mwaka 2015 ataingia Ikulu au Segerea?

    Lowassa ni mtendaji sio mtu wa maneno mengi,95% utendaji na 5% maneno wao sema fisadi hawana hoja Bali ni chili binafsi history yake ya utendaji inambeba Lowassa,linapokuja suala la kutumikia wananchi hana ushikaji.
Back
Top Bottom