Mbona hao wenye degree ya theology ukiyajua ya kwao ndo ushenzi mtupu?
Kisa hamuyajui ndo maana mnaona wanafaa?
Acha tukae kimya tu!
Katiba inaruhusu kuabudu unachotaka Ili mradi huvinji sheria ya nchi!
Mambo ya Imani ni masuala binafsi..
Mungu hapangiwi amtumie nani,afanye vipi kazi, anaweza...
Kwahiyo we unawapangia watu namna ya kuishi na kusali?
Kila mtu anaishi anavyopenda ilimradi havunji Sheri ya nchi!
Katiba ya nchi imempa Kila mmoja uhuru wa kuabudu,we ni nani mpk uanze kuhukumu watu eti hawana akili?
Km ni rahisi na hawana akili km unavyodhani we mwenye akili anzisha kanisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.