Recent content by favoured

  1. favoured

    Nauza iPhone E 6 (16Gb) mpya

    Mpya haijafunguliwa kwa box, ina seal yake ya guarantee 2 yrs.. malezo pale juu yajitosheleza jamani ahsante aliyepiga akiiona atacomment ...
  2. favoured

    Nauza iPhone E 6 (16Gb) mpya

    mujukum sio vizuri kupoteza watu..kama hununui ukae kimya hamna iphone 6 hata kwa 1.5 mil popote ,asante serious buyers only to comment
  3. favoured

    Nauza iPhone E 6 (16Gb) mpya

    Wanajamii, Nauza Iphone 6, nimepata dharura hivyo nnahitaji hela (Nimeinunua ila nimepata dharura, I need Money). Bei ya kuuza 1.6milion, Niko Dar. Kwa mawasiliano piga 0717633724.. Tafadhali upige simu kama mnunuzi tu. Picha yake hiyo nime-attach.
  4. favoured

    Nauza Printer ya passport size, unatumia mtaji mdogo kupata faida kubwa (HITI p420)

    napatikana wakuu , nipigie kwa maelezo zaidi utanipata tu
  5. favoured

    Nauza Printer ya passport size, unatumia mtaji mdogo kupata faida kubwa (HITI p420)

    Habari wanajamii, Nauza HITI Printer 420, Maelezo mafupi: -Machine inayotoa passport za haraka saizi zozote bila kuhitaji computer a -Wino unakuja ana karatasi zake 50 unapata kwa 25,000/-tshs -Inakuhakikishia faida mpka sh 300,000/tsh kutokana kwa kila boksi -Bei ya machine...
  6. favoured

    Nauza line ya M-Pesa na Tigopesa

    Habari wanajamii Nauza line za Mpesa na Tigo pesa, ni zangu na zinafanya kazi sema nimekosa msimazi aliyepo kaondoka, ndo sababu ya kuuza kama uko serious kwa manunuzi nipigie 0717633724,naishi Dar es salaam - naamini hatutashindwana bei Ahsante
  7. favoured

    Kwa Wanafunzi tu: Nunua Laptop, Flashdisk, Bag, Karspersky ANti-Virus, Wireless Mouse @410$ tu

    Elisante angalia juu pale kwenye subject bei ni $410 vifaa vyote hivyo hapo, ukibadili kwa shilingi za kitanzania laki saba, Mawenzi -walimu pia wanaruhusiwa kuapply
  8. favoured

    Kwa Wanafunzi tu: Nunua Laptop, Flashdisk, Bag, Karspersky ANti-Virus, Wireless Mouse @410$ tu

    Habari Wanajamii (hasa wanafunzi au wazazi wa wanafunzi ) Napenda kuwatangazia wanafunzi wote , kuna offer ya manunuzi laptop zinatolewa na Kampuni ya EVE technologies unaweza kuandika oda yako katika website link au ukapiga simu 0766315158, tunao mawakala wetu katika kila chuo ili kusaidia...
  9. favoured

    Ofa! Ofa! ya kutengeneza WEBSITE aina zote kwa bei rahisi

    Habari Wanajamii wenzangu Kampuni ya teknolojia inayomilikiwa na watanzania yenye watu waliosomea nchi mbalimbali na ujuzi mbali mbali wa IT , wanatoa offa kubwa ya punguzo za gharama za kutengeneza website za kila aina ,kuanzia 50% punguzo mwezi huu mpaka Desemba. EVE TECHNOLOGIES...
  10. favoured

    KINANDA used kinauzwa Yamaha E333 model Tshs 400,000/=

    Habari wanajamii Maelezo kama ifuatavyo Model:Yamaha E333 Condition:Very good Used for:1 Year(mwaka mmoja) Sellers info: 0717633724 , Dar Bei ya kuuza: 400000 tshs haipungui Asanteni , piga cm kama mnunuzi tu
  11. favoured

    Bajaji TVS KING inauzwa bei poa sana- first come first served

    Kiongozi nipigie tuwasiliane tuzungumze vizuri ili tufanye biashara
  12. favoured

    Bajaji TVS KING inauzwa bei poa sana- first come first served

    Bajaji nauza 2.1Milioni no negotiations(bei haishuki ndo ya kuuzia) , maelezo ya conditions hayo chini 1.NAMBA ya usajili :T643BTL 2.Engine Condition: Nzima sana -inadai hata miaka 2mbele 3.Body condition: Liko zima sana(haijawahi kugongwa) 4.Turubai-sio jipya ,na halijachoka kiasi cha...
  13. favoured

    Bajaji ipi ni nzuri kwa biashara?

    Iko poa muuzaji wewe tu uingalie ,contact muuzaji 0766315158
  14. favoured

    Nauza bajaji tvs king T BTL million 2.5 iko vizuri

    Maelewano yapo piga simu 0766315158 kwa mawasiliano
Back
Top Bottom