favoured
Member
- May 5, 2014
- 18
- 1
Bajaji nauza 2.1Milioni no negotiations(bei haishuki ndo ya kuuzia) , maelezo ya conditions hayo chini
1.NAMBA ya usajili :T643BTL
2.Engine Condition: Nzima sana -inadai hata miaka 2mbele
3.Body condition: Liko zima sana(haijawahi kugongwa)
4.Turubai-sio jipya ,na halijachoka kiasi cha kuchanika
5.Kioo cha mbele- Kizima ila kuna cracks ndogo ambazo hazizuii kukitumia(see photos) mpaka utakapo kibadili
6.Vibali- vyote vipo ila ndo miezi ya mwisho
7.Ubovu-haina ubovu sugu wowote ,na iko bararani inatembea
kama unahitaji tuwasiliane haraka iwezekanavyo kwa 0717633724
Ahsanteni wana JF