KWANINI MNAKIMBILIA AMANI NA MAENDELEO KAMA KINGA YENU KUBAKI MADARAKANI HIVI NINAN AMBAE ANAWEZA KULETA VITA KAMA CYO CCM WENYEWE? WATU WAKIANDAMANA POLICE KAZ YAKE NI KUWALINDA NANI ATAKETA FUJO KAMA MAANDAMANO YAKIFANYWA CHINI YA ULINZI WA POLICE ? SEMEN TU UKWELI KUWA KATIBA MPYA NI MWIBA...
KWANI UBAYA WA MAMA SAMIA NI UPI?? KWAHIYO MLITAKA CCM TU NDO MUWE NA HAKI KTK NCHI HII? MTATESEKA SANA RAIS SAMIA NGANGARI KUMI TENA HAUPENDI UONGOZ WAKE HATA BURUNDI NI NCHI UNAWEZA KWENDA
Maisha mazuri ya kutekana kuishi kwa hofu kubambikiziwa kesi kupigana risasi hadharani na kugawa pesa hovyo bila mpangilio ndo yalikuwa maisha mazuri kwenu siyo ? Endeleeni kulia ikibidi mwambieni gwajima na mwamposa wakamfufue
Hebu tuoneshe hiyo chuki ya wazi wazi ya rais samia kwa mtanguliz wake au unatetea usichokijua. Je rais samia
Kupandisha madaraja watumishi
Viongoz wachadema kufutiwa kesi na kurudishiwa faini yao
Uhuru wa vyombo vya hbr kuongezeka
Tabia ya kutekana na kupotezwa kwa watu wenye mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.