CCM kuwalegezea CHADEMA ili ionekane tuna misingi ya Demokrasia ni kukengeuka

chadema hii inayomsifia mama leo hii.

2025 si mbali.
Siasa siyo uadui,siasa ni maendeleo,siasa ni kujenga hoja,siasa ni kukubali yale yanayogusa jamii na kukataa yale yanayogandamiza jamii,hivyo chadema kukubaliana na anayoyafanya mama jua kuwa amegusa Katiba yetu kwa asilimia 95%.
 
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.

Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.

Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?

Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.

My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Enzi za chiki,roho mbaya na ubabe,umepita,hutaki andamana uko huru kufanya hivyo.
 
Siasa siyo uadui,siasa ni maendeleo,siasa ni kujenga hoja,siasa ni kukubali yale yanayogusa jamii na kukataa yale yanayogandamiza jamii,hivyo chadema kukubaliana na anayoyafanya mama jua kuwa amegusa Katiba yetu kwa asilimia 95%.
ni dalili njema kabisa ya kuunga juhudi za ccm,au nasema uongo ndugu zangu.
 
Kwa akili yako hii nchi ni mali ya CCM, au ni mali ya Watanzania wote? Acha ubinafsi wa kipuuzi wewe. Kama hutaki mfumo wa vyama vingi, hamia China au Korea Kaskazini.
Ingekua mali ya watanzania wote 2010 ccm ingekua imekua chama cha upinzani hii nchi mali ya CCM huwezi kuiondoa ccm madarakani kamweeeee kwa sanduku la kura kama upo tayari kumwaga tomato hapo sawa
 
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.

Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.

Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?

Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.

My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Huna haja ya kuogopa ,kuwa kama Kaunda aliposhindwa alikubali,Wananchi wanayomacho na masikio,bahati nzuri Ccm ipo madarakani wazidishe vitendo kwa wananchi.
 
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.

Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.

Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?

Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.

My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
Wewe unashida kubwa sana kichwani! Chama dola TISS, POLICE nk bado naogopa chama mnachoita SACCOS? yaani update 87% ya kura za uraisi 2020 afu umuogope mwenye 13%?
Kama ccm kinakubalika huu uwoga wako wann
 
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni Chadema. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.

Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti kuhakikisha ndege zinakamatwa? Tumesahau Kovidi ilipoingia Mbowe na genge lake walivyokuwa wakipotosha kuwa maelfu ya watu wanakufa Dar es salaam hivyo total lockdown iwekwe.

Tumesahau walivyokuwa wanashirikiana na wapambe wao wasio na nia njema kushinikiza tusipate mikopo ya World bank?

Leo hii mnawashinikiza majaji ili watengue hukumu kisa tu muonekane mnapenda Demokrasia! Mnaruhusu Mbowe na genge laki kuzurura wakati mnajua hafai kabisa.

My take: CCM inaelekea pabaya sana na mwaka 2025 moto utawaka.
[/QUOTE HUFAI WW NA UKOO WENU WOTE CHAMA HAKUNA SHIDA AFU KUHUSU MIKUTANO YA KISIASA IPO WAZI KWENYE KATIBA AMAKWEL SHUJAA ALIWAPANDIKIZA MBEGU MBAYA NA MKAMUAMINI
 
Back
Top Bottom